Vijana Na Michezo
-

Mashindano ya Bocha ya Afrika yafunguliwa
Mashindano ya Bocha ya Afrika yalifunguliwa Jumatatu Julai 3, ambayo Misri itaikaribisha katika ukumbi wa Hassan Mustafa mnamo Oktoba 6,…
Uendelee kusoma » -

Timu ya Misri yaongoza kundi lake katika kombe la mataifa ya Afrika U-23
Timu ya Olimpiki ya Misri iliongoza Kundi B katika hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya…
Uendelee kusoma » -

MAMA MARIAM MWINYI ASHIRIKI BONANZA LA UWT WILAYA YA AMANI
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi jana alishiriki…
Uendelee kusoma » -

Waziri wa Michezo aunga mkono timu ya Olimpiki ya Misri kabla ya mechi yake na Niger
Waziri wa Vijana na Michezo, Dkt. Ashraf Sobhi, amesema kuwa mashabiki wa Misri wanasubiri kuonekana kwa wachezaji wa timu ya…
Uendelee kusoma » -

Makamu wa Tanzania ashuhudia Tamasha la Bunge Grand Bonanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ni muda muafaka wa kupinga kwa…
Uendelee kusoma » -

TANGA, MORO MABINGWA GOALBALL UMISSETA 2023
Mikoa ya Tanga na Morogoro imeibuka mabingwa wa mchezo wa Goal Ball wasichana na wavulana, ambao ni maalum kwa watu…
Uendelee kusoma » -

MICHUANO YA SOKA WANAWAKE YAFIKIA NUSU FAINALI – UMISSETA 2023
Timu za Soka Wasichana kutoka Mikoa ya Dodoma, Manyara, Mbeya na Tabora zimeingia nusu fainali katika Mashindano ya Umoja wa…
Uendelee kusoma » -

Waziri wa Vijana na Michezo akutana na wanadiplomasia vijana kutoka nchi wanachama wa Shirika la Kimataifa la Francophonie
Dkt. Ashraf Sobhi, Waziri wa Vijana na Michezo, alikutana Jumatano, katika makao makuu ya Wizara hiyo katika Mji Mkuu Mpya…
Uendelee kusoma » -

ARUSHA WASICHANA WATANGULIA NUSU FAINALI KIKAPU
Timu ya Mpira wa Kikapu Wasichana kutoka mkoa wa Arusha imefanikiwa kuingia hatua inayofuata ya nusu fainali katika Mashindano ya…
Uendelee kusoma » -

RIADHA YAFIKIA TAMATI UMISSETA 2023 TABORA
Michezo ya riadha imehitimishwa leo Tarehe 20 Juni 2023, katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania…
Uendelee kusoma »









