Vijana Na Michezo
MAMA MARIAM MWINYI ASHIRIKI BONANZA LA UWT WILAYA YA AMANI
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi jana alishiriki akiwa Mgeni rasmi katika Bonanza la Michezo Maalumu lililoandaliwa na UWT Wilaya ya Amani Viwanja vya kwa Wazee Sebleni Mkoa wa Mjini Magharibi.