Vijana Na Michezo
-

Waziri wa Michezo asifu mafanikio ya ujumbe wa Misri katika Michuano ya mazoezi ya viungo ya Afrika nchini Morocco, na ubora wa ujumbe wa Karate katika Ligi ya Dunia huko Emirates
Dkt. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, alisifu matokeo ya ujumbe wa Timu ya kitaifa ya mazoezi ya…
Uendelee kusoma » -

Wizara ya Vijana na Michezo yaandaa mradi wa kitaifa “Maadili Yangu Yaniashiria” katika Kituo cha Olimpiki cha mafunzo ya timu za kitaifa huko Maadi
Wizara ya Vijana na Michezo-Idara Kuu ya maendeleo ya vijana wachanga, Idara Kuu ya malezi ya shule, kwa uratibu na…
Uendelee kusoma » -

Timu ya kitaifa ya Misri yaweka tarehe ya mechi ya Malawi katika uwanja wa Kairo katika Fainali za kufikia Mataifa ya Afrika
Machi 24 ijayo imeandaliwa kuwa tarehe ya mechi ya timu ya kitaifa ya Misri na timu ya kitaifa ya Malawi…
Uendelee kusoma » -

Mabingwa wa Hockey wa Al-Sharqiya waandika historia na wakawa wakuu wa mchezo huo katika Barani Afrika
Dkt. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, na Dkt. Mamdouh Ghorab, Gavana wa mkoa wa Al-Sharqiya, Jumatatu Asubuhi, katika…
Uendelee kusoma » -

Waziri wa Vijana na Michezo aunga mkono timu ya Misri kwa Vijana
Waziri wa Vijana na Michezo, Dkt. Ashraf Sobhy, alitembelea kambi ya timu ya Misri kwa Vijana, kuisaidia timu hiyo kabla…
Uendelee kusoma » -

Ushindi wa Congo na Uganda katika Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana
Timu ya kitaifa ya Congo imeshinda mwenzake wa Sudan Kusini kwa 2/1, pia timu ya kitaifa ya Uganda imeshinda…
Uendelee kusoma » -

Mama Mariam Mwinyi aongoza Matembezi ya kilomita tatu ya Kupinga Vitendo vya udhalilishaji kwa Watoto
Mke wa Rais wa Zanzibar , Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi aongoza Matembezi…
Uendelee kusoma » -

Misri na Msumbiji zafungana katika ufunguzi wa mashindano ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 2o
Mechi kati ya Misri na Msumbiji imemalizika kwa sare hasi katika ufunguzi wa michuano ya Afrika kwa vijana walio chini…
Uendelee kusoma » -

Sherehe za ufunguzi wa mataifa ya vijana wa Afrika zitafaa hadhi ya Misri
Gamal Allam, Mkuu wa Shirikisho la Soka la Misri, aliwakaribisha maafisa wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), katika mkutano…
Uendelee kusoma »









