Vijana Na Michezo

Mama Mariam Mwinyi aongoza Matembezi ya kilomita tatu ya Kupinga Vitendo vya udhalilishaji kwa Watoto

Ahmed Hassan

0:00

Mke wa Rais wa Zanzibar , Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi aongoza Matembezi ya kilomita tatu ya Kupinga Vitendo vya udhalilishaji kwa Watoto, yalioanzia Kendwa hadi Uwanja wa Hamburu kwa kumalizia pamoja na mazoezi ya viungo katika kilele cha kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation.

Back to top button