Habari Tofauti
-
Alhamisi - 3 Agosti 2023WAZIRI JAFO ATETA NA WATUMISHI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema ushirikiano baina ya viongozi…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 3 Agosti 2023NDEJEMBI AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BONDE LA MTO MSIMBAZI NA DMDP 2
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali, Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) ameongoza kikao cha Wataalam kwa…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 3 Agosti 2023MAWAKALA WA UKUSANYAJI MAPATO KUANZA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imefanya maboresho kwenye mfumo wa ukusanyaji wa…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 2 Agosti 2023Timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji ipo mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutekeleza Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI)
Mpango huo unaojulikana pia kama Blueprint, unalenga kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini kwa kupunguza au kuondoa changamoto mbalimbali…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 2 Agosti 2023OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWAKARIBISHA WADAU, WANANCHI MAONESHO YA NANENANE 2023 MBEYA
Ofisi ya Makamu wa Rais imeungana na Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Umma na Binafsi katika kushiriki Maadhimisho ya…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 2 Agosti 2023Waziri Mkuu atoa hotuba ya ufunguzi katika mkutano wa Wamisri wanaokaa nje ya Nchi
Dkt. Mostafa Madbouly, Waziri Mkuu, alitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa “Wamisri wanaokaa nje ya Nchi” katika toleo lake…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 1 Agosti 2023Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo afurahia na jitihada zilizofanywa na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amefurahishwa na jitihada zilizofanywa na Baraza la Kiswahili la Taifa…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 1 Agosti 2023Mhe. Dkt. Philip Mpango ameupongeza uongozi wa Wakala ya Barabara nchini (TANROAD) pamoja na Mkoa wa Mbeya kwa usimamizi mzuri na kukamilisha ujenzi wa barabara ya mchepuko
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameupongeza uongozi wa Wakala ya Barabara nchini…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 1 Agosti 2023Serikali ya awamu ya sita ina dhamira ya dhati kuhakikisha huduma bora za afya zinasogezwa Jirani na wananchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema serikali ya awamu ya sita ina…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 1 Agosti 2023DED MOSHI AAGIZWA KUMCHUKULIA HATUA MHANDISI WA UJENZI KWA KUKWAMISHA MIRADI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri…
Uendelee kusoma »









