Habari Tofauti
-
Jumanne - 1 Agosti 2023MAJALIWA: DIASPORA TUNZENI HESHIMA YA TANZANIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanadiaspora wa Tanzania wazingatie sheria za nchi wanazoishi ili waendelee kutunza heshima ya nchi yao.…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 31 Julai 2023SERIKALI YAWAKARIBISHA WADAU KUSAIDIA WATOTO WA KIKE MASHULENI KUPATA VIFAA VYA HEDHI SALAMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Angellah J. Kairuki amesema Serikali…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 31 Julai 2023Ubalozi wa Misri katika mji mkuu, Kampala, waadhimisha miaka 71 ya Mapinduzi ya Julai
Balozi Munzer Selim, na mkewe Bi. Engy Magdy, waliandaa sherehe za kila mwaka za maadhimisho ya miaka 71 ya mapinduzi…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 31 Julai 2023Mkuu wa Mamlaka ya Ushindani ashiriki katika kikao cha kupambana na mazoea ya monopolistic katika Mkutano wa Afrika-Urusi huko St Petersburg
Dkt. Mahmoud Momtaz, Mkuu wa Mamlaka ya Ushindani na Mwenyekiti wa Mtandao wa Ushindani wa Kiarabu, alishiriki katika kikao kilichofanyika…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 30 Julai 2023Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri akutana na Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji wa Sudan Kusini
Balozi Moataz Mustafa Abdel Qader, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri nchini Sudan Kusini, alikutana na Bw. Pal Mai…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 30 Julai 2023Balozi Bassam Radi ajadiliana na Makamu wa Mkuu wa Baraza la Seneti la Italia na mahusiano ya Bunge
Seneta Gasparry, Makamu wa Mkuu wa Seneti ya Italia, alimpokea Balozi Bassam Rady, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 28 Julai 2023WALIMU WA AWALI NA MSINGI WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO MATUMIZI YA TEHAMA SHULENI
Serikali imeeleza kuwa katika zama za Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji ni nyenzo…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 28 Julai 2023TAMISEMI YASISITIZA UFAULU MZURI SHULENI
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Elimu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Vicent Kayombo amekagua miradi…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 28 Julai 2023Waziri wa Elimu ashuhudia utiaji saini wa azimio la Dar es Salaam “Kuwekeza kwa Watu Kujenga Uchumi Ulio na Tija, Jumuishi na Ustahimilivu”
Waziri wa Elimu na Elimu ya Ufundi, Dkt. Reda Hegazy ameshuhudia utiaji saini wa taarifa ya Mkutano wa Wakuu wa…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 26 Julai 2023Waziri wa Elimu ashiriki katika kikao cha Baraza Kuu la Mawaziri lenye kichwa cha habari “Kuwekeza katika Rasilimali watu na Kunufaika nayo katika Maendeleo (Fursa, Mafanikio na Changamoto)”
Ndani ya muktadha wa ushiriki wake katika shughuli za “Mkutano wa Rasilimali watu wa Afrika 2023”, uliofanyika nchini Tanzania Julai…
Uendelee kusoma »









