Klabu ya Al- Masry
Ilianzishwa baada ya mapinduzi ya 1919 ili kupambana na Wakoloni.
Klabu ya Almasry ilianzishwa mnamo tarehe Machi 18, mwaka 1920 , wakati wa uzalendo wa kimisri unaokataa ukoloni wa Uingereza baada ya mapinduzi ya 1919 , ikaitwa jina hilo kwani ilianzishwa mabegani mwa wamisri kati ya idadi ya klabu nyingi mkoani Portsaid zilizohusika kwa ajili ya wakimbizi wa wazungu .
Klabu ya Almasry huko Portsaid inazingatiwa ni klabu ya kwanza ya kimisri inayokusanya wamisri katika mapambano dhidi klabu za kizungu , inawakilisha sura mpya ya kupambana na kuwepo kwa kizungu na kuthibitisha utambulisho wa uzalendo katika nyanja zote miongoni mwao ni mchezo na haswa mpira wa miguu .
Klabu hiyo ilichukua jina lake kutoka kwa wimbo wa ” Qum ya Masri ” ( Simama , ewe mmisri ) wa kizalendo kwa msanii wa Sayed Darwesh , msanii wa watu , pia ilichukua sare zake kutoka kwa bendera ya kimisri ya kijani wakati huo .
Klabu ya Almasry inazingatiwa upendo mkubwa kwa mashabiki wa klabu na kwa watu wa Portsaid na hamu yao kubwa kwa kuzingatiwa ni mwakilishi wao na ikibainisha hadhira yao , pia ni upendo uliojaza viti vya uwanja wa klabu kwa mashabiki wake katika mechi zote , bila kuona utaratibu wa timu katika Ligi . Klabu ya Misri ni klabu ya pili iliyoshiriki katika ligi la kimisri baada klabu ya Al Ahly na klabu ya Zamalek , ambapo haijawahi kutoshiriki katika ligi la kimisri ila misimu miwili tu 1958_1959 na 1959_1960 wakati ilipocheza vibaya sana baada kushuka kwake kwa mara moja tu kupitia historia yake kwa sababu iliathirika na matokeo ya uchokozi wa tatu.