Habari Tofauti
Balozi wa Misri ashiriki Iftar ya Kikosi cha Misri cha Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Congo (MONUSCO)
Mervet Sakr
Balozi Hisham Abdel Salam Al-Maqwad alishiriki katika Iftar ya kikosi cha Misri cha Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Congo (MONUSCO), ambapo alipongeza utendaji wa kikosi cha Misri na ufanisi wake mzuri na watu wa Congo kutokana na jukumu muhimu linalotekeleza katika kudumisha Usalama na Utulivu ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Ikumbukwe kuwa kikosi cha Misri kina maafisa 180, wakiwemo wanawake 18.