Siasa
-

Rais El-Sisi athibitisha kwamba Umoja imara wa kitaifa unaowaunganisha Watu wa Misri ni nguzo yetu kuu ya Ustawi na Maendeleo
Rais Abdel Fattah El-Sisi amepeleka pongezi kwa utakatifu wa Baba Tawadros wa Pili Baba wa Alexandria, Patriaki wa Jimbo la…
Uendelee kusoma » -

Aguila Saleh: Misri imewasiliana na kila mtu kufikia makubaliano ya “Libya-Libya” yatakayomaliza mzozo na kuheshimu nia yao ya kuamua nani awatawale
Aguila Saleh, Spika wa Baraza la Wawakilishi la Libya, alithibitisha: Misri imesukuma kuelekea kuheshimu matakwa ya Walibya kuamua nani atawatawala…
Uendelee kusoma » -

Uteuzi wa Balozi wa Misri Ashraf Swailem kama mwakilishi binafsi wa Rais wa Jamhuri kwa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (NEPAD)
Rais Abdel Fattah El-Sisi alimuagiza Rais wa Jamhuri kumteua Balozi Ashraf Swailem, Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika na Jumuiya za…
Uendelee kusoma » -

Misri yashutumu mlipuko wa mabomu ya yaliyotegwa ndani ya magari mawili katika mji wa Mahasa katikati mwa Somalia
Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje leo, Januari 4, 2022 imeshutumu mashambulizi…
Uendelee kusoma » -

Balozi wa Misri mjini Juba akutana na Waziri mpya wa Maji na Umwagiliaji wa Serikali ya Sudan Kusini
Mheshimiwa Balozi Moataz Mustafa Abd El-Qader , Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri nchini Jamhuri ya Sudan Kusini amekutana…
Uendelee kusoma » -

Misri yatoa misaada ya chakula na matibabu kwa Somalia
Ubalozi wa Misri mjini Mogadishu ulipeleka kwa serikali ya Somalia shehena ya misaada ya kibinadamu iliyotolewa na serikali ya Misri…
Uendelee kusoma » -

Waziri wa Mambo ya Nje aongoza mkutano wa Baraza la Wakurugenzi la Wakala wa Misri kwa Ushirikiano kwa ajili ya Maendeleo
Balozi Ahmed Abu Zeid, msemaji rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje, alisema kuwa Mheshimiwa Sameh Shoukry, Waziri wa Mambo…
Uendelee kusoma » -

Waziri wa Uhamiaji asifu juhudi za wataalam wa Misri walio nje ya nchi katika kuijenga nchi
Balozi Soha Al Gendy, Waziri wa Nchi ya Uhamiaji na Masuala ya Wamisri Nje ya Nchi akishuhudia ufunguzi wa toleo…
Uendelee kusoma » -

Vijana wa Misri ndani na nje ya nchi ndio msingi wa mchakato wa maendeleo na wachora mustakabali wa nchi
Wizara ya Nchi ya Uhamiaji na Masuala ya Wamisri Nje ya Nchi iliandaa ziara katika Mfereji wa Suez, kwa ujumbe…
Uendelee kusoma »









