Siasa

Misri yashutumu mlipuko wa mabomu ya yaliyotegwa ndani ya magari mawili katika mji wa Mahasa katikati mwa Somalia

Ali Mahmoud

Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje leo, Januari 4, 2022 imeshutumu mashambulizi mawili ya kigaidi ya yaendayo sambamba na mabomu ya magari mawili katika mji wa Mahasa katikati mwa Somalia, Ambayo yalisababisha idadi ya waathiriwa na wajeruhiwa.

Misri imetoa salamu zake za rambirambi za dhati na kufariji serikali na watu wa Jamuhuri ya Shirikisho ya Kidugu ya Somalia, na kwa familia za waathiriwa wa shambulio hili la kutisha, ikiwatakia kupona haraka kwa wajeruhiwa.

Hivyo, Misri imethibitisha mshikamano wake na msaada kamili kwa Nchi ya Kidugu ya Somalia katika kukabiliana na aina zote za misimamo mikali na ugaidi, ikitoa wito kwa kutekeleza juhudi za pamoja za jumuiya ya kimataifa kukabiliana na ugaidi na kukausha vyanzo vyake.

Back to top button