Habari Tofauti
-
Jumamosi - 22 Julai 2023Misri yatia saini Mkataba wa maelewano kati ya Kampuni ya Mji Mkuu wa Utawala wa Maendeleo ya Miji ya Jamhuri ya Kiarabu ya Misri na Shirika la Maendeleo la Mji Mpya huko “Mlima wa Hampden” katika Jamhuri ya Zimbabwe
Ubalozi wa Misri mjini Harare uliandaa ziara ya ujumbe wa Kampuni ya Mji Mkuu wa Utawala kwa Maendeleo ya Mijini…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 21 Julai 2023MAGONJWA YADIYOAMBUKIZWA KUCHANGIA ASILIMIA 33 YA VIFO NCHINI
Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani 33% ya vifo vyote nchini huku kwa takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 21 Julai 2023BILIONI 3.2 ZAIWEZESHA TARURA KUJENGA KILOMITA 51.28 ZA BARABARA MKOANI NJOMBE
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Serikali ya Awamu ya…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 21 Julai 2023“WATUMISHI TUNZENI SIRI ZA SERIKALI” Ludovick Nduhiye
Watumishi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara wametakiwa kuzingatia miiko na utunzaji siri za Serikali pamoja na kuongeza ari ya…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 20 Julai 2023KITUO KIPYA CHA AFYA MAKOWO CHAANZA KUTOA HUDUMA
Kituo kipya cha afya Makowo kilichopo halmashauri ya mji wa Njombe kilichojengwa kwa zaidi ya shilingi milioni 600 kimeanza rasmi…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 20 Julai 2023Viongozi na wadau wa maendeleo Mkoani Njombe wameshiriki semina ya maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 (TDV 2050)
Semina hiyo iliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na Mipango, imefanyika Julai 19,2023 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe ikilenga…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 19 Julai 2023Waziri wa Makazi apokea mwaliko wa mwenzake wa Angola kutembelea Angola ili kuimarisha ushirikiano katika maeneo yenye maslahi ya pamoja
Dkt. Assem El-Gazzar, Waziri wa Makazi, Huduma na Jumuiya za Mijini, alipokea mwaliko kutoka kwa Bw. Carlos Alberto Dosanto, Waziri…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 19 Julai 2023Sheikh wa Al-Azhar ampokea Waziri wa Ulinzi wa Guinea Conakry na kujadili njia za kuimarisha ushirikiano katika nyanja za kisayansi na utetezi
Mheshimiwa Imamu Mkuu Prof. Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Shareif, alipokea Jumanne, Julai 18, katika Sheikhdom ya Al-Azhar, Meja Jenerali…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 19 Julai 2023Wizara ya Mambo ya Nje na Umoja wa Mataifa yaandaa sherehe za ngazi ya juu kwa kutambua michango ya kipekee na kujitolea kwa walinda Amani wa Misri
Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri na Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Misri imeadhimisha siku ya Jumatatu, Julai…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 18 Julai 2023Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji amekagua mradi wa maji wa Tarime
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja, ame kagua mradi wa maji wa Tarime – Rorya wenye lengo…
Uendelee kusoma »









