Habari

NAIBU WAZIRI DUNGANGE BUNGENI

 

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Festo Dugange aliyepata ajali ya gari April 26 mwaka huu Barabara ya Iyumbu Jijini Dodoma ameingia Bungeni leo kwa mara ya kwanza baada ya kuuguza majeraha ya ajali hiyo kwa muda wa Miezi Mitatu.

Dugange akijibu Swali Bungeni leo ikiwa ni Mara ya wanza tangu kupata ajali hiyo ameishuuru Serikali, Bunge Pamoja na Familia yake kwa Kuwa Pamoja naye katika kipindi hicho cha Miezi Mitatu.

Back to top button