Uncategorized
RAIS DK.MWINYI AMUAPISHA SHARIFF ALI SHARIFF KUWA WAZIRI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi;Ofisi ya Rais , Kazi, Uchumi na Uwekezaji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Zanzibar tarehe: 22 Februari 2024.