HabariUncategorized
DKT. MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA MORROCO NCHINI TANZANIA

0:00
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri, alipofika Ikulu Zanzibar leo tarehe 13 Machi 2023.