Miji Ya Misri

“Port Fouad”….mji wa kifaransa nchini Misri

 

Ni mji wa kimisri wa Afro_Asia ambao hufurahia eneo lake ambapo upo mashariki mwa mji wa Port Said kwenye mahali pa mashariki pa kuingilia mfereji wa Suez, na pia unachukuliwa mahali pa kwanza Barani Asia, kaskazini, unapakana na Bahari ya Mediterranean, ama mashariki, unapakana na mkoa wa Shamal Sina, na  kusini, unapakana na mji wa Ismailia.

Mji wa Port Fouad unachukuliwa kito kilichojumuishwa na usanifu, wafaransa wameujenga mwaka 1920 AD ili kufanana na miji ya Ufaransa ya hali ya juu, wakifikiri kwamba wataweza kuutawala Mfereji wa Suez milele.

Sababu ya kuitwa na jina hilo:

Mji wa Port Fouad uliitwa na jina hili kwa mujibu wa mfalme Fouad na pia kwa kuwa bandari.

Ni mji wenye mtindo wa kujenga wa Paris, majengo mengi ya mji ule yana muundo wa majumba ya kifahari yaliyopangwa kwa maelewano mazuri, yakifurahia nyanja zake mpana na mitaa yake inatiwa vivuli na miti mikubwa.

Miongoni mwa vivutio muhimu zaidi vya mji

Klabu ya michezo ya Port Fouad

Ni moja ya klabu kongwe nchini Misri iliyojengwa mwaka 1902 AD, pia kabla ya ufunguzi wa mji huo mwaka 1926 AD, hata kabla ya kujenga klabu mashuhuri zaidi wakati wa sasa mjini Port Said “klabu ya kimisri”.

Msikiti mkubwa wa Port Fouad

Ni msikiti wa kwanza uliojengwa huku, na mimbari yake bado ina umaridadi wake tangu agano ya Mfalme Farouk AlAwwal..

Mkusanyiko wa kiislamu

Unaangalia Mfereji wa Suez kutoka upande mwingine wa bandari ya jengo la mamlaka ya Mfereji wa Suez, urefu wa mnara wake wafikia mita 160.

Milima ya chumvi

Mjini wa Port Fouad, rangi nyeupe inaenea mji wa pwani ulio karibu, kwa hiyo wageni wanakuja huku kama kivutio cha kitalii kulingana na kuwepo kwa milima ya chumvi ikiwa na iodini na inafanana na milima ya chumvi nyeupe ya Port Fouad_mahali maarufu zaidi kuteleza kwenye theluji ulimwenguni_ lakini bei yake inapunguza zaidi kuliko usafiri, kwa hiyo unawavutia watalii wengi kupanda milima na kuteleza kwenye theluji.

Check Also
Close
Back to top button