Habari Tofauti
-
Jumatatu - 6 Febuari 2023Ufunguzi wa kongamano la Biashara la Kimisri na Kiromania kwa mahudhurio ya wajumbe rasmi na kikundi cha makampuni makubwa kutoka pande zote mbili
Madbouly: Mahusiano ya Misri na Romania ni imara, ya kihistoria, kulingana na maslahi ya pande zote na kufurahia kuunganishwa kwa…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 6 Febuari 2023Al-Azhar yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Udugu wa Binadamu
Al-Azhar Al-Shareif iliandaa sherehe kubwa, katika banda lake katika Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Kairo, katika toleo lake la…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 6 Febuari 2023Shirika la ndege la Misri yakaribisha Mkutano wa Kimataifa wa Matengenezo ya Ndege Barani Afrika na Mashariki ya Kati
Shirika la ndege la Misri, inayowakilishwa na Kampuni ya Matengenezo na Kazi za Ufundi, itakuwa mwenyeji wa Mkutano na Maonesho…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 5 Febuari 2023Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji wa Misri afikia Tanzania
Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji wa Misri afikia Tanzania kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 5 Febuari 2023Uzinduzi wa shughuli za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu
Shughuli za mashindano ya kimataifa ya 29 ya Qur’ani Tukufu, yanayofanyika poaj na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abdel Fattah El-Sisi,…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 5 Febuari 2023Soko la Kariakoo kukamilika Oktoba Ijayo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema ujenzi wa soko la Kariakoo inatarajiwa kukamilika Oktoba 2023. Mradi…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 5 Febuari 2023TANZANIA: ZIARA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII- WILAYANI LUDEWA
Wilaya ya Ludewa tulimpokea Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Balozi Dkt. Pindi Chana na kumuongoza kwenye miradi mbalimbali inayotekelezwa…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 5 Febuari 2023Mashindano ya Port Said ya Kimataifa ya Quran Tukufu yazinduliwa
Meja Jenerali Adel Al-Ghadban, Gavana wa mkoa wa Port Said, alitangaza kuwa kuna maandalizi makubwa katika utawala wa kutekeleza na…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 5 Febuari 2023Waziri wa Biashara na Viwanda ajadili kunufaika na utaalamu wa taasisi za kisayansi nchini Korea Kusini katika kuhamisha teknolojia za kisasa kwa sekta ya Misri
Mhandisi. Ahmed Samir, Waziri wa Biashara na Viwanda, alifanya mkutano wa kina na Dkt. Rasha Ragheb, Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo…
Uendelee kusoma » -
Jumapili - 5 Febuari 2023Waziri wa Umeme na Nishati mbadala akutana na Waziri wa Nishati wa Senegal kujadili masuala ya ushirikiano wa baadaye
Kando ya Mkutano wa Pili wa Umoja wa Afrika mjini Dakar, Dkt. Mohamed Shaker, Waziri wa Umeme na Nishati Mbadala,…
Uendelee kusoma »









