Habari Tofauti
-
Jumamosi - 25 Febuari 2023Mawaziri wa Elimu ya Juu na Afya washiriki katika mkutano wa maandalizi ya uzinduzi wa toleo la pili la Mkutano wa Tiba wa Afrika kwa Mwaka wa 2023
Dkt. Ayman Ashour, Waziri wa Elimu ya Juu na Utafiti wa Kisayansi, Dkt. Khaled Abdel Ghaffar, Waziri wa Afya na…
Uendelee kusoma » -
Jumamosi - 25 Febuari 2023Misri yachukua nafasi ya urais wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Afrika (AMCAW) kwa kipindi cha miaka miwili 2023-2024
Prof.Hany Sweilam, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji, alishiriki katika shughuli za kikao cha nne cha ajabu cha Mtendaji…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 23 Febuari 2023Mkuu wa Mamlaka ya Huduma za Afya ajadili ushirikiano na Balozi wa Ghana nchini Misri katika uwanja wa utalii wa matibabu
Dkt. Ahmed El Sobky, Mkuu wa Mamlaka kuu ya Huduma za Afya, Waziri Msaidizi wa Afya na Idadi ya Watu,…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 23 Febuari 2023Waziri wa Umwagiliaji wa Misri ashiriki katika maadhimisho ya “Siku ya Mto Nile” nchini Kenya
Wakati wa ziara yake huko nchi ndugu ya Kenya. Prof.Hany Swailem, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji, alishiriki katika…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 23 Febuari 2023Vijana 812 waliochaguliwa kujiunga katika programu ya BBT-YIA awamu ya kwanza watajwa
Wizara ya Kilimo leo Februari 23, 2023 Jijini Dodoma imetangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 22 Febuari 2023Waziri wa Umwagiliaji wa Misri akutana na wabunge kadhaa wa Bunge la Kenya
Wakati wa ziara yake kwa nchi ndugu ya Kenya .. Mheshimiwa Prof. Hani Swailem, Waziri wa Rasilimali za Maji na…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 22 Febuari 2023Waziri wa Nchi kwa Uzalishaji wa Kijeshi akutana na Waziri wa Ulinzi wa Sudan pembezoni mwa siku ya pili ya Maonesho ya Ulinzi ya “IDEX 2023”
Mhandisi / Mohamed Salah El-Din Mustafa, Waziri wa Nchi anayehusika na Uzalishaji wa Kijeshi alikutana na Waziri wa Ulinzi wa…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 21 Febuari 2023Spika wa Bunge la Zimbabwe atembelea Mkoa wa Aswan
Mheshimiwa Jacob Mudenda, Spika wa Bunge la Zimbabwe, alitembelea Mkoa wa Aswan katika mfumo wa ziara yake rasmi nchini Misri…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 20 Febuari 2023Waziri wa Umwagiliaji wa Misri na Naibu Waziri Mkuu wa Congo wakagua “Kituo cha Utabiri wa Mvua na Mabadiliko ya Hali ya Hewa” mjini Kinshasa
Prof. Hany Sweilam, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji, pamoja na Bi Yves Bazaiba Masudi, Naibu Waziri Mkuu na…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 20 Febuari 2023Misri yajitahidi kutoa maji safi ya kunywa katika vijiji na maeneo yaliyo mbali na vyanzo vya maji huko Congo
Katika siku ya pili ya ziara yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Prof. Hany Swailem, Waziri wa Rasilimali za…
Uendelee kusoma »









