Habari Tofauti
-
Jumanne - 17 Oktoba 2023Waziri wa Mambo ya Nje wa Guinea ampokea Balozi wa Misri katika hafla ya kumalizika safari yake ya kazi mjini Conakry
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Guinea, Dkt. Morisanda Kouyaté, alimpokea Balozi Tamer Kamal El-Meligy, Balozi wa Jamhuri…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 17 Oktoba 2023Waziri Mkuu ashuhudia utiaji saini wa makubaliano ya mfumo wa “Ujenzi wa Hangar 9000 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kairo”
Jumatatu Oktoba 16, Waziri Mkuu Dkt. Mostafa Madbouly alishuhudia, hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya mfumo kati ya Kampuni…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 17 Oktoba 2023Waziri Mkuu afikia Beijing kwa kushiriki katika kikao cha tatu cha Jukwaa la Ukanda Mmoja na Njia Moja la Ushirikiano wa Kimataifa
Jumatatu Oktoba16, Waziri Mkuu Dkt.Mostafa Madbouly aliwasili Beijing kwa niaba ya Rais Abdel Fattah El-Sisi, kushiriki katika kikao cha tatu…
Uendelee kusoma » -
Jumamosi - 14 Oktoba 2023Dkt. Swailem akutana na wajumbe wa ujumbe wa umwagiliaji wa Misri nchini Uganda kufuatilia kazi ya ujumbe, miradi ya ushirikiano wa sasa wa nchi mbili na maoni ya baadaye
Katika ziara yake ya kikazi nchini Uganda Prof. Hani Sweilam, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, akiambatana na Balozi Munther Selim,…
Uendelee kusoma » -
Jumamosi - 14 Oktoba 2023Misri yatoa wito wa kupatikana kwa haraka na salama wa misaada ya kibinadamu kwa ukanda wa Gaza
Alhamisi, Oktoba 12, Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje, Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ilizitaka nchi zote…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 13 Oktoba 2023KAMATI YA TAMISEMI YAWATAKA TANGA JIJI KUWASILISHA TAARIFA YA UJENZI WA DAMPO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Denis…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 12 Oktoba 2023Serikali isema lengo kubwa katika uhifadhi wa mazingira nchini ni kuhakikisha taifa linakuwa la kijani
Serikali imesema lengo kubwa katika uhifadhi wa mazingira nchini ni kuhakikisha taifa linakuwa la kijani, hivyo kila mwananchi ana wajibu…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 12 Oktoba 2023KAMATI YA TAMISEMI YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TACTIC – MOROGORO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Uimarishaji…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 12 Oktoba 2023Rais El-Sisi ampokea Bw. Gianpietro Benedetti, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Italia “Daniele”
Jumatano Oktoba 11, Rais Abdel Fattah El-Sisi alimpokea Mheshimiwa Gianpietro Benedetti, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Italia…
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 10 Oktoba 2023MAMA MARIAM MWINYI ASEMA ZMBF IMEFANIKISHA KUWAWEZESHA WANAWAKE ZANZIBAR
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)…
Uendelee kusoma »









