Habari Tofauti

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Madawa ya Misri afanya ziara kwa kampuni ya Afregen ya chavuo(Biopharmaceuticals) na chanjo

Bassant

Dkt.Tamer Essam,Mwenyekiti wa Mamlaka ya madawa ya kimisri alifanya ziara utafutaji katika makao makuu ya kampuni ya Afregen,ambapo Dkt.Pietro Terblanshe, meneja Mkuu wa Kampuni ya Afregen.

Ziara hiyo ilijadiliwa njia ya ushirkiano wa pamoja wa baadaye kati ya kampuni hiyo na wenzao katika Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika uwanja wa chanjo na vitendanishi vya maabara,na kuandaa hali ya mwafaka ili kufanikiwa ushirkiano kati ya pande mbili kupitia msaada wa kiufundi na kiutaratibu unaotolewa na mamlaka ya madawa ya kimisri kwa washirika wa sekta.


Ikumbukwe kuwa Misri ilichaguliwa mwaka jana,miongoni mwa sita zilizochaguliwa kwa mpango wa kutengeneza chanjo ndani ya bara la Afrika kulingana na teknolojia ya mRNA,na kampuni ya Afregen iliyochaguliwa na Shirika la Afya Duniani kuangalifu utafiti ya maendeleo ya teknolojia ya ufundi wa chanjo kwa mbinu ya mRNA iliyotumika kuandaa chanjo ya Korona, ambayo itatumika katika mpango wa uhamishaji wa teknolojia ya utengenezaji uliotangazwa na Shirika la Afya Duniani wakati wa janga la Corona.

Ziara hiyo inakuja kwa kuzingatia nia ya Mamlaka ya kuendelea kufuatilia maendeleo ya hivi karibuni
yanayohusiana na utafiti uliofanywa na kampuni, Kuanza awamu ya pili ya mpango huo ni uhamishaji wa teknolojia ya utengenezaji bidhaa kwa nchi zilizochaguliwa kushiriki katika mpango huo, na ziara hiyo pia inaonesha uangalifu wa Mamlaka ya kusaidia njia zote za ushirikiano na mashirika mbalimbali ya kimataifa, pamoja na kuwekeza katika kupata mikopo ya kimataifa kwa mamlaka, jambo linaloonesha imani ya ulimwengu katika mfumo wa udhibiti katika Jamhuri ya Kiarabu ya Misri.

Back to top button