Habari Tofauti

Mama Mariam Mwinyi akutana na mwenyeji wake “Chairperson Hong Kong Federation of Women”

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation(ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na mwenyeji wake “Chairperson Hong Kong Federation of Women” Bi.Hassy Ho, katika mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa jengo la Palace Academy Hong Kong jana kabla ya kuanza kwa mkutano wa “Women Power Forum” uliofanyika katika ukumbi wa jengo hilo jana tarehe 30-6-2023.

Back to top button