Habari Tofauti

Mama Mariam awahimiza Wanawake kushikirikiana katika jitihada za kujikwamua kiuchumi

0:00

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amewahimiza Wanawake kushikirikiana katika jitihada za kujikwamua kiuchumi ili kujenga maisha bora kwa jamii.

 Mama Mariam Mwinyi  ameyasema katika mkutano wa kwanza wa Ushirikiano wa Wanawake wa China na Mataifa ya Afrika uliofanyika jana Jijini Changsha

 

Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya ALL China Women Federation pia  ulihutubiwa  na  Wake za Marais wa China, Malawi na Burundi .

Back to top button