Habari

Makamu wa Rais wa Tanzania afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Misri

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Misri Mheshimiwa Mostafa Madbouly, mazungumzo yaliofanyika katika kituo cha mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri leo tarehe 23 Mei 2023.

Back to top button