Utambulisho Wa Kimisri

Mji wa Al Asmarat wa kijana na michezo

Eneo kubwa la michezo, limefungwa mnamo Julai, 2020.

Mji huo ni kituo cha mwanga wa kiutamaduni, unazingatiwa kama mfano wa kipekee kwa mji wa huduma zote kamili, na kituo kinachosaidia maendeleo ya kiutamaduni na michezo.

Umejengwa kwenye eneo la mita mraba 48,000 takriban (ekari 11,50); ili kuwahudumia watu wa Al Asmarat, na maeneo karibu.

Majengo ya mji :

  • Uwanja wa mpira wa miguu wa kisheria.

  • Viwanja vinne vya mpira wa miguu.
  • Viwanja viwili kwa matumizi tofauti.
  • Viwanja vitatu vya mpira wa kikapu.

  • Ukumbi wa michezo ya mieleko.
  • Eneo la kucheza kwa watoto.
  • Jengo la kijamii.
  • Eneo la mabafu ya kuogelea.
  • Ukumbi wazi.
  • Maduka, na eneo la benki.
Check Also
Close
Back to top button