Habari Tofauti

Futakamba afunga Kongamano la Kimataifa la Kisayansi la Maji

0:00

Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akifunga Kongamano la Kimataifa la Kisayansi la Maji Jijini Dar es salaam.
Mhandisi Futakamba amepongeza kufanyika Kongamano hilo kwa mara ya pili mfululizo kwa kukutanisha wataalamu wa sekta ya maji zaidi ya 500 kutoka ndani na nje ya nchi.
Amesema tafiti mbalimbali zilizowasilishwa katika Kongamano hilo zitasaidia sana katika kazi za kuhakikisha jamii inakuwa salama katika huduma ya maji, pamoja na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Back to top button