Habari Tofauti

Ziara ya Waziri Nape, Msomera

0:00

Leo Machi 1, 2023 Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye amefanya ziara katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Lengo la ziara hiyo ni kukagua utekelezaji wa miradi ya mawasiliano na TEHAMA, ambapo Mhe. Nape ameridhishwa na mwenendo wa utekelezaji wa miradi hiyo kijijini hapo.
Back to top button