Habari

Geophrey Mizengo Pinda ni kuwa Naibu Waziri wa Ardhi

0:00

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Geophrey Mizengo Pinda kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
See translation
Back to top button