Habari

Deogratius Ndejembi kuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI

0:00

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Deogratius Ndejembi kuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Back to top button