Habari

Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti

0:00

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
See translation
Back to top button