Habari
Mhe. Pauline Gekul ni kuwa Naibu Waziri wa Katiba

0:00
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Pauline Gekul kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.