Habari

Rais Hussein Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula

Ahmed Hassan

0:00

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba.
Ziara hiyo ya kushtukiza ilikuwa na lengo la kujionea hali ya chakula ilivyo na bei zake.
Dkt. Mwinyi alikuwa akipata maelezo kutoka kwa wafanyabishara hao kuhusiana na bei za vyakula na upatikanaji wake.
Back to top button