Siasa
Rais Samia Hassan amefanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa
Ahmed Hassan

0:00
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Bw. Filippo Grandi aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.