Rashid Kassim Mchatta kuwa Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania
Ahmed Hassan
Ijumaa - 10 Febuari 2023
0:00
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rashid Kassim Mchatta kuwa Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.