Habari

Dkt. Gerald Mbonimpa Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama

Ahmed Hassan

0:00

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Gerald Mbonimpa Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023.

Back to top button