
0:00
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Mkoani Dodoma.
Pia Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Picha ya Jengo la Kihistoria la Zanzibar, Bait el Ajaib, Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai huyo.