Siasa

Rais Samia Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino

Ahmed Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe. Marie Charlotte G. Tang mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Pia rais Samia amefanya mazungumzo na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe. Marie Charlotte G. Tang mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho. Na wamezungumzia masuala ya Kilimo na Uvuvi ambayo nchi ya Ufilipino imepiga hatua kubwa katika sekta hiyo.
Back to top button