Habari

Mhe. Abdallah Hamis Ulega ni kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

Ahmed Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abdallah Hamis Ulega kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Back to top button