Habari Tofauti
-
Ijumaa - 11 Agosti 2023TOENI MOTISHA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA
Viongozi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini wameelekezwa kutoa motisha kwa wafanyakazi wanaofanya vizuri ili kuwapa ari …
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 11 Agosti 2023UNEP KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA
Naibu Mtendaji Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) Bi.Elizabeth Mrema ameeleza kuwa Shirika hilo litaendelea kuimaisha…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 11 Agosti 2023“Moyo wangu mzima waipenda”…Wanafunzi wa Indonesia waelezea upendo wao kwa Misri na shukrani kwa Al-Azhar
Katika ishara tofauti, inayowakilisha hali ya kipekee iliyowapata wanafunzi wa kimataifa nchini Misri na Al-Azhar Al-Shareif, na kuthibitisha nguvu ya…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 11 Agosti 2023Balozi wa Misri nchini Senegal ajadili utekelezaji wa miradi ya pamoja na makampuni ya sekta binafsi ya Misri
Katika mfumo wa juhudi za Ubalozi kufungua maeneo mapya ya ushirikiano kati ya Misri na Senegal, Balozi Khaled Aref alimpokea…
Uendelee kusoma » -
Ijumaa - 11 Agosti 2023Rais El-Sisi afuatilia maendeleo ya nafasi ya utendaji wa Mradi wa Taifa wa Uzalishaji wa Kilimo “Mustakabali wa Misri”
Alhamisi Agosti 10, Rais Abdel Fattah El-Sisi alikutana na Waziri Mkuu Dkt. Mostafa Madbouly, Waziri wa Umeme na Nishati Mbadala…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 10 Agosti 2023WAZIRI KAIRUKI AITAKA TSC KUFANYIA KAZI HOJA ZILIZOWASILISHWA KWENYE MAONESHO YA NANENANE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Mhe. Angellah Jasmine Kairuki…
Uendelee kusoma » -
Alhamisi - 10 Agosti 2023Kukamilika Daraja kuu linalounganisha kingo mbili za Mto wa Rufiji
Ndilo daraja refu zaidi nchini Tanzania kulingana na ukubwa wake.. Tena litakuwa moja ya sehemu kuu za barabara ya kimataifa…
Uendelee kusoma » -
Jumatano - 9 Agosti 2023HOSPITALI YA WILAYA YA BUKOBA YATAKIWA KUANZA KUTOA HUDUMA ZA MIONZI NA UPASUAJI
Hospitali ya halmashauri ya wilaya ya Bukoba imetakiwa kuanza kutoa huduma ya Mionzi na Upasuaji ifikapo Septemba 1, 2023 Maelekezo …
Uendelee kusoma » -
Jumanne - 8 Agosti 2023Mamlaka ya Dawa yashuhudia usafirishaji wa kwanza wa bidhaa za dawa za Misri kwenda Zimbabwe
Siku ya Jumatatu Agosti 7, Dkt. Tamer Essam, Mwenyekiti wa Mamlaka ya Dawa ya Misri, alishuhudia sherehe ya kusafirisha shehena…
Uendelee kusoma » -
Jumatatu - 7 Agosti 2023Balozi wa Misri nchini Senegal ampokea Waziri wa Afya wa Cape Verde
Balozi Khaled Aref alimpokea Filomena Gonaçalves, Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Cape Verde, kando ya ziara yake huko Dakar,…
Uendelee kusoma »









