Vijana Na Michezo

Programu ya Urais kwa kuandaa vijana waafrika kwa Uongozi (APLP)   

Kuhusu programu :

Wazo la programu lilizinduliwa katika utekelezaji wa moja ya mapendekezo ya mkutano wa vijana ulimwengu 2018,wakati wa Urais wa Misri kwa Umoja wa Afrika mwaka 2019, programu inalenga  kusanya vijana wa Afrika pamoja na uhusika na imani zake tofauti chini ya mwavuli mmoja lengo lake ni Maendeleo na Amani, na kukamilika mchango wa Misri  katika ushiriki mzuri na Serikali zingine za Kiafrika kwa kuwekeza katika umuhimu zaidi na thamani zaidi bora, ambayo ni Vijana na programu inalenga kutoa fursa kwa zaidi ya Vijana 1000, Barani Afrika kupitia kozi 10,kila kozi inaweza kuchukua vijana  100.

Kipindi cha programu : wiki tano.

Masharti ya uandikisaji:

Kujiunga hutokea kupitia tovuti ya programu, umri wa mwombaji lazima awe kati ya miaka (18 hadi 30) upendeleo wa kuingia ni kwa waombaji wenye mafanikio ya (kisayansi, michezo, utamaduni na kijamii). Kupatikana taarifa ya hali ya kusoma, au cheti cha kuhitimu.

 kupitisha mahojiano ya kibinafsi, kwa wale wanaotaka kujiunga kupitia programu ya (Skype).

Back to top button