Habari
Rais El-Sisi ahudhuria sherehe ya “Twaweza kwa tofauti” katika Ukumbi wa Mikutano kwenye El-Manara
Ali Mahmoud
Rais Abdel Fattah El-Sisi alihudhuria sherehe ya “Twaweza kwa tofauti” katika Kituo cha Mikutano cha Al-Manara huko Kairo mpya, pia Mheshimiwa Rais alikagua maonesho ya watu hao walemavu.