Wahusika Wamisri

Dokta Ahmed El-Tayeb

Naye ni Ahmed Muhammad Ahmed El-Ttayeb (tarehe ya 6, mwezi wa 1 mwaka wa 1946 :3 mfunguo tano 1365 H) , naye ni Imamu mkubwa .

Sheikh wa msikiti ya Al-Azhar, Mkuu wa baraza la watawala wa waislamu, Profesa katika Akida ya kiislamu, anaongea lugha mbili za kifaransa na kiingereza vizuri sana, amefasiri idadi kadhaa ya marudio ya kifaransa kwa lugha ya kiarabu, alifanya Kazi kama Profesa katika chuo kikuu kwa kipindi fulani huko Ufaransa, ana vitungo vingi vya Akida, Sharia, na Usufi wa kiislamu, na Bwana El-tayeb kutoka familia yenye mawazo ya Usufi naye anaongoza njia ya Usufi kufuatilia babake aliyeaga dunia.

Uzazi na ukuaji wake:

Sheikh Ahmed El-Tayeb alizaliwa kwenye El-marashda, Deshna, mkoa wa Qena kusini mwa Misri, naye alijiunga Chuo kikuu cha Al-Azhar mpaka akipata cheti cha kwanza katika Akida na Falsafa 1969, kisha cheti cha Uzamili 1971, na cheti cha Uzamivu 1977 katika kitengo kile kile, alipata Uzamili na Uzamivu na aliendelea katika masomo yake pale Serbon nchini Ufaransa.

Kutawala kwake kwa Ushehe :

Mnamo siku ya 19, Machi, 2010 aliainishwa Shehe kwa Msikiti wa Al-Azhar baada ya Dokta Muhamed Sayed Tantawy.

Nafasi alizozifanya:

  1. Sheikh wa Al-Azhr tangu (19 Machi 2010 hadi sasa).
  2. Mkuu wa baraza la watawala wa waislamu.
  3. Rais wa chuo kikuu cha Al-Azhar (28 Septemba 2003 hadi 19 Machi 2010).
  4. Aliainishwa Mkuu kwa kitivo cha Usuli za Dini kwenye chuo kikuu cha kiislamu cha kimataifa huko Pakistan.
  5. Aliombwa kama Mkuu kwa kitivo cha masomo ya kiislamu na kiarabu kwa wanaume huko Aswan.
  6. Aliombwa Mkuu kwa kitivo cha masomo ya kiislamu na kiarabu kwa wanaume katika mkoa wa Qena.
  7. Alifanya kazi kama Mwalimu, Mwalimu Msaidizi, Msomi, Mwalimu Msaidizi kwa Akida na Falsafa kwenye chuo kikuu cha Al-Azhar.

Vyuo vikuu ambapo alifanya kazi :

  1. Chuo kikuu cha Imamu Muhamed Bin Seud huko Riadh.
  2. Chuo kikuu cha Qatar.
  3. Chuo kikuu cha Imarat.
  4. Chuo kikuu cha kiislamu cha kiarabu – Islam Abad- Pakistan.

Suala la kimisri:

Zama ya Mubarak

Ahmed El-Tayeb alikuwa mwanachama katika Suala la Siasa kwenye chama cha kitaifa, alipochaguliwa Sheikh kwa Al-Azhar, mwanzoni alikataa kujiuzulu toka chama cha kitaifa cha demokrasia kwa hija ya kutokuwepo tatizo kati ya masuala mawili haya, lakini mwishoni aliacha chama, na kulingana na uwezekano wa kuhusisha Al-Azhr na mfumo wa kusaisa Ahmed El-Tayeb alisema ” Taasisi ya Al-Azhar haiangalii Agenda ya serikali, bali Al-Azhar haipaswi kupinga serikali, kwani ile ni sehemu ya nchi, na haiambiwi kuamini juu ya chochote kinachosemwa kwa serikali, nilipokuja kama sheikh wa Al-Azhar Rais Mubarak alikubali kujiuzulu kwangu toka chama cha Ofisi ya kisiasa kwa chama cha kitaifa, ili kuharirisha Al-Azhar toka kitu chochote” na Eltayb aliunga mkono wa kufanya cheo cha Sheikhe ya Al-Azhar kiwe kwa kuchaguliwa siyo kuainishwa toka Rais wa Jamhuri.

Mapinduzi ya 25 Januari :

Mmsimamo wa Ahmed El-Tayeb toka mapinduzi yay 25 Januari kwa ” Yeye alihadhirisha kwa ukali juu ya haki za kawaida kwa wananchi katika Uadilifu, Uhuru, na Maisha Mazuri, na katika wakati ule ule alikuwa Ana wasiwasi na kukataa kazi yoyote inayosababisha kueneza damu na Fujo nchini” ambapo katika kauli yake siku ya 29 mwezi wa Januari, aliyasifu mahitaji ya waandamanaji kwa (Mahitaji yenye Uadilifu) lakini yeye alionya kwa Fujo akiwaita watu kwa Kimya na Amani.

Lakini Sheikh Ahmed El-Tayeb alitaja kwa wazi baada ya Hotuba ya Mubarak ya pili akizungumzia maandamano uwanjani mwa Eltahrir kwamba (Maandamano kwa njia hii ni haramu katika sharia ya Mwenyezi Mungu) na mwito kwa Fujo.

Kisha alieleza masikitiko yake kwa shughuli za Fujo katika kitendo cha Elgamal, akisisitiza juu ya umuhimu wa kusimamisha shughuli zile, na akiwaita tena vijana waandamanaji ili kuzungumza, pia aliita kwa ajili, kuhifadhi Usalama, na kukata njia za majaribio ya kuingiza Ulaya kwani ” Matukio haya yanalenga kuharibu Misri” na baada ya tangazo la Mubarak kwa kuhamisha utawala wake kwa naibu wake Omar Solaiman, Eltayb alionya kuendelea maandamano yaliyokuwa haya maana kamwa na haramu, baada ya kumalizika utawala wa sasa na kuhakikisha maombi ya vijana, kisha hija halali kwa kufanya maandamano iliondoa.

Eltayb katika Aprili ya 2011 aliharakisha kwa kurejesha Pesa zote alizozipata tangu kuainishwa kwake katika utawala wa Ushehe wa AlAzhr takatifu, pia aliomba kufanya kazi bila ya mshahara kama kuimarisha uchumi wa kimisri uliokuwa na mgogoro baada ya mapinduzi ya 25 Januari

Matukio ya Walinzi wa kijamhuri na kuondoa Uasi wa Rabaa:

Mnamo kauli iliyotangazwa katika runinga ya kimisri siku ya Matukio ya Walinzi wa kijamhuri, 8 Julai 2013 alihisia pole sana kwa familia za mashahidi, na aliwaita watendaji kwa maombi sita: Upelelezi wazi, Uundaji kamati ya suluhisho ya kitaifa kikamilifu, kutangaza wakati wa ramani ya mseto, ushirikiano wa vyombo vya habari katika masuluhisho, kutoa wafungaji wote wa kisiasa, kusimamisha kwa haraka kueneza damu, naye alitangaza kwamba yeye katika hali zile anapaswa kukaa nyumbani mwake, akiwakumbusha kwa kauli ya Mtume : “Kuondoa Kabaa kwa jiwe jiwe ni rahisi na kubaliwa kwa Mwenyezi Mungu kulingana na kutokwa damu ya mwislamu bila haki”.

Katika kauli kwenye runinga siku ya 14 Agosti 2013, Eltayb alikataa kwa maarifa yake na ya Al-Azhar kwa kumalizika Uasi wa Rabaa naye akiashiria kwamba yeye alijua kupitia runinga, akisisitiza juu ya haramu ya damu, na kutumia Ghasia si badala ya suluhisho ya kisiasa na mazungumzo, akiwakumbusha kwa Hadithi inayosema ” Kuondoa Maisha ni kukubaliwa kwa Mwenyezi Mungu mbele ya Damu ya mtu mwislamu” naye kwa naiba ya AlAzhr alitangaza masikitiko na huzuni yake kwa kuwepo maiti akiomba Mwenyezi Mungu kuwarehemu na kuwepo pamoja na wenzao, akiwaita wote kuzidisha sauti ya Hekima na kusimamisha kuingiza Al-Azhar katika mapambano ya kisiasa

Mahusiano ya nje:

Al-Azhar ilisimamisha mazungumzo pamoja na El-Vatikan katika 20 Januari 2011 kwa kipindi kisichojulikana kwa sababu ya shambulio mfululizo wa Baba Bendekt wa kumi na sita kwa Uislamu na mwito wake kwa ” kulinda wakiristo nchini Misri” baada ya Mlipuko wa Kanisa ya “Elkedisin” mjini Aleskandaria. Na Ahmed El-tayeb alizingatia ulinzi wa Wakiristo ni suala la ndani linaloangaliwa kwa serikali kwa kuwazingatia wakiristo wananchi kama wenzao wengine toka taifa tofauti, na Al-Azhar inakataa kurudisha mahusiano pamoja na El-Vatikan ila baada ya msamaha rasmi toka Baba Bendekt wa kumi na sita.

Kauli zile zilfuatiliwa kwa kukataa pamoja na El-Vatikan kwa miaka mitano, baadaye kwa mara ya kwanza Sheikh El-tayb alikutana na Baba Fransis katika Mei 2016 katika makao makuu ya Baba kwenye El-Vatikan, na wakati wa mkutano wao Wawili wa Dini walisisitiza juu ya ” Kukataa Ghasia na Ugaidi” baadaye mkutano wa pili nchini Misri Aprili 2017 wakati wa ziara ya Baba Fransis ili kuhudhuria mkutano wa kimataifa kwa Amani uliofanyikwa katika Ukumbi wa mikutano ya Al-Azhar, kisha mkutano wa tatu pale El-Vatikan kwa tarehe ya 7 Novemba 2017 ili kushiriki katika mkutano wa kimataifa wa tatu kwa Amani, kisha wa nne wakati wa ziara yake kwa El-Vatikan katika 16 Oktoba 2018. Na katika Februari 2019 mjini mkuu wa Imarat Abu Dhabi, El-tayb alikutana na Fransis katika kilele cha kimataifa kwa ndugu ya kiutu, kilichoundwa kwa baraza la watawala wa waislamu, na walitia saini juu ya mkataba wa ndugu ya kiutu

Na kuhusu Uyahudi El-tayb alikataa kushika mkono Bwana Shemon Berez au kuwepo pamoja nawe katika mahali pamoja ; kwani ” kumshika mkono kutahakikisha tija, kwani Al-Azhar ilishika mkono wa Uyahudi, na hiyo nitakuwa kibaya kitakachopunguza toka shughuli zangu, na shughuli za Al-Azhar ; kwani ushikaji mkono unamaanisha kukubali kuthibitisha mahusiano, na hilo ni jambo nisilokiri mpaka Uyahudi kurudisha haki za kweli kwa Wapalastina” mwanzoni mwa awamu yake kwa Al-Azhar, El-tayeb alikataa kuzunhumzia Unyanyasaji mpya wa kiyahudi katika msikiti wa ElAksa, akisema kwamba kauli yake haitaongeza kipya katika suala lile

Vitungo:

  • Ahmed El-tayeb alitunga vitungo kadhaa katika Akida, na Falsafa ya kiislamu, pia ana masomo na tafiti kadhaa katika upande ule, pamoja na lugha yake mama ya kiarabu, yeye anaongea kiingereza vizuri sana na hayo ni maonyesho kwa vitungo vyake:
  • Vitabu vya Kisayansi
  • Upande wa kukosoa katika Falsafa ya Abu Elbarakat Elboghdady.
  • Maoni juu ya sehemu ya Mola kutoka kitabu cha kuadibisha mazungumzo kwa Taftazany.
  • Tafiti katika utamaduni wa kiislamu, kwa kushirikiana pamoja na wengine.
  • Mwingilio kwa kusoma Mantiki kuukuu.
  • Funguo za kuwepo kutoka kitabu cha misimamo, maonyesho na masomo.
  • Dhana ya harakati kati ya Falsafa ya kiislamu na Falsafa ya kimurksia ( Utafiti) .
  • Misingi ya nadharia ya elimu kwenye ElAshary (Utafiti).
  • Funguo za tatizo na mwenye tatizo kutoka kitabu cha Misimamo : maonyesho na masomo.

Uhakiki:

  • Kuhakikisha ujumbe wa ( Sahihi ya dalili za uhamiaji akilini) kwa Abu Barakat Elboghdady, pamoja na utangulizi kwa lugha ya kifaransa.

Ufasiri:

  • Ufasiri wa kitabu cha (Chodkieweiz, Prophetie et saintete dans la doctrine d’ lbn Arabi) kutoka lugha ya kifaransa kwa kiarabu kwa kichwa cha : Utawala na Utume kwenye Shehe Mohy Eldin Bin Araby).
  • Ufasiri wa utangulizi wa kifaransa kwa Kamusi yenye vielezo kwa misamiati ya Hadithi ya Mutme.
  • Ufasiri wa kitabu cha (Othman Yahya, Historie et classification de l’ oeuvre d’ lbn Arabi) kutoka lugha ya kifaransa kwa kiarabu kwa kichwa cha : Vitungo vya Bin Araby historia na uainishaji wake.
  • Bin Araby yupo katika vyuo vikuu vya kimisri.
  • Mitazamo katika suala la kukosesha Qurani, suala linalohusishwa kwa Sheea.
  • Masomo ya wafaransa kuhusu Bin Araby.

Majukumu mengine:

  • Mwanachama wa jumuia ya Falsafa ya kimisri.
  • Mwanachama wa zamani katika kikao cha siasa za chama cha kitaifa mpaka 11 Aprili 2010.
  • Mwanachama wa baraza kuu kwa masuala ya kiislamu.
  • Mwanachama wa mkusanyiko wa tafiti za kiislamu.
  • Mwanachama wa baraza la wakuu kwenye Shirikisho la idhaa na runinga.
  • Mkuu wa kamati ya kidini kwenye Shirikisho la idhaa na runinga.
  • Mwenye uamuzi wa tume ya marudio na kuunda viwango vya malezi kwenye Wizara ya Elimu.
  • Mwanachama wa chuo cha taasisi ya Wenye Elbet kwa Mawazo ya kiislamu

Maisha ya Imamu:

Wageni Wengi waliingia Uislamu kupitia Sheikh ya Al-Azhar, na miongoni mwao ni watu wa familia wakati wa masomo yake Paris, na Ugeni unasema kwamba Sheikh ya Al-Azhar ni msomaji mzuri kwa nyanja zote za Elimu, Maarifa, na Fasihi, naye alikuwa wa kwanza aliyeita kwa kufanyika upya katika masuala ya kidini bila ya kuudhika misingi ya Dini, naye aliita kutambua wastani ya Uislamu na Uadilifu wake, akisisitiza kwamba Imamu Eltayb ana Imani kubwa kwa ujumbe wa Al-Azhar, naye mwangalifu kwa yeyote anayechangia kueneza ujumbe huu katika pembe zote za Ardhi.

Ingawa yeye alipata vyeo kadhaa basi yeye bado yupo katika ghorofa yake mjini Kairo peke yake akiiacha familia kwake kijijini, naye anaendelea kuitembelea kwa siku tatu kwa muda wa wikiWana wa Sheikh nao ni ( Mhandisi Mahmoud na mwana wa kike Zeinb) wapo mjini Luxor, kwa nafsi yake anafuatia kila kitu anachokimiliki kwake na kwa familia yake pale Luxor, Sheikh ya Al-Azhr anakutana na Wana wa kijiji chake na kijiji jirani, na ukarimu wa wageni hutolewa kwao, na Sheikh anafanya kazi yake kama mhakimu kwa kusuluhisha mizozo na matatizo kati ya familia, pia anawakaribisha wageni wake wamisri, waarabu na wageni wazungu, na wakati mwengine hutembelewa na baadhi ya watalii wageni wanaokuja Luxor. mbili na wakati mwengine wiki tatu kwa ajili ya kutokata mizizi yake kwa familia yake

Kwa Sheikh na familia yake mahali pengine mjini Kairo, miliki kwa kakake mkubwa naye ni Sheikh kwa njia ya Usufi, pale hukuwepo nguzo zote za kukaa na kukaribisha Wana wa kijiji au jirani sawa wakiwa waislamu au wakiristo au toka mahali pengine wanaopenda kutembelea Kairo, pale huwakaribishwa sana, pia kuna jumuia ya kheri inayo jukumu la kukaribisha binti yatima, kuwalea, kuwagharimia hadi kuolewa, kukaribisha hali za ugonjwa na kutosheleza matibabu, akiongeza kwamba wana wa Eltayeb wanahudumia wageni na wanaokaa pale mjini Luxor na Kairo.

Na anasema kwamba Jumuia ina majukumu kadhaa kama kulipa deni za wenye gharama, kutoa huduma kwa wanaoziomba, kutatua mizozo na matatizo.

Kwa Sheikh ya Al-Azhr misimamo kadhaa mengine kama yeye hapati mshahara kama Sheikh wa Al-Azhr, naye husema kwamba anafanya kazi yake kwa ajili ya Uislamu, na hastahili kupata mshahara ila toka Mwenyezi Mungu tu, pia aliacha vingi kwa ajili ya hayo, na alitengenisha vingi sana toka Al-Azhr kwa wanaoudhishwa toka mito na mizozo, kujenga hospitali, kunufaisha wajeruhiwa wa vita, naye alitoa safari nyingi sana kwa Haji na Omra kwa wakaribu wa wajeruhiwa.

Check Also
Close
Back to top button