Al-Azhar
-
Habari
Alhamisi - 5 Septemba 2024Al-Azhar yatoa wito wa kuuwepo kwa kampeni ya kimataifa ya kutoa misaada kwa watu wa Sudan
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Al-Azhar, Prof.Ahmed Al-Tayeb, alitoa wito kwa ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu kuharakisha misaada ya…
Uendelee kusoma » -
Habari Tofauti
Ijumaa - 2 Agosti 2024Mhubiri wa Msikiti wa Al-Azhar: Awaita vijana kufanya kazi kwa uaminifu na kutotumia teknolojia katika vitendo vya aibu
Prof. Abbas Shoman, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Al-Azhar, na Katibu Mkuu wa Baraza la Wasomi Wakuu, alitoa hotuba ya…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumatano - 17 Julai 2024Balozi wa Rwanda amtaka Imam Mkuu aanzishe taasisi za Azhar nchini Rwanda
Mhe. Prof. Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, alimpokea Balozi Dan Munouta, Balozi wa Rwanda mjini Kairo, katika Usheikh…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumatano - 10 Julai 2024Rais wa Indonesia ampokea Sheikh wa Al-Azhar katika Ikulu ya urais kwenye mji mkuu wa Indonesia Jakarta
Rais Joko Widodo, Rais wa Indonesia, alimpokea Mhe.Imamu Mkuu Prof. Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, katika Kasri la…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumapili - 7 Julai 2024Maelfu ya Waislamu wa Thailand kutoka mikoa 45 ya Thailand wakutana na Sheikh wa Al-Azhar
Kituo cha Kiislamu katika mji mkuu wa Thailand, Bangkok, kiliandaa mkutano wa hadhara kwa ajili ya Mhe.Imamu Mkuu Prof.…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumamosi - 6 Julai 2024Mfalme wa Thailand ampokea Sheikh Mkuu wa Al-Azhar
Mfalme Vajiralongkorn wa Thailand katika Jumba la kifalme huko Bangkok alimpokea Mhe. Prof.Ahmed Al-Tayeb, Sheikh mkuu wa Al-Azhar Al-Sharif,…
Uendelee kusoma » -
Habari
Ijumaa - 5 Julai 2024Sheikh Al-Azhar asali sala ya Ijumaa katika kituo cha kiislamu alipowasili kwenye mji mkuu Bangkok
Kwenye sherehe kubwa kutoka kwa Waislamu nchini Thailand. Alipowasili katika mji mkuu wa Thailand, Bangkok, Mhe. Imamu Mkuu Prof.…
Uendelee kusoma » -
Habari
Alhamisi - 4 Julai 2024Mfalme wa Malaysia ampokea Sheikh Mkuu wa Al-Azhar
Mfalme Ibrahim bin Sultan Iskandar wa Malaysia alimpokea Mhe. Imamu Mkuu Prof.Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif na Mwenyekiti…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumamosi - 8 Juni 2024Rais wa Azerbaijan amwalika Sheikh wa Al-Azhar kutembelea nchi na kuhudhuria mikutano ya Tabianchi ya COP29 na viongozi wa kidini wa mkutano wa kilele kwa Tabianchi
Mheshimiwa Imamu Mkuu Prof. Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, Jumamosi katika usheikh wa Al-Azhar, alimpokea Rais wa Jamhuri…
Uendelee kusoma » -
Habari
Jumatano - 15 Mei 2024Waziri wa Mambo ya Kisiasa wa Sierra Leone atoa mwaliko rasmi kwa Sheikh wa Al-Azhar ili kutembelea nchi yake
Mnamo Jumanne asubuhi, Mheshimiwa Mkuu Prof.Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, katika usheikh wa Al-Azhar, alimpokea Bw. Amara Kallon,…
Uendelee kusoma »









