Habari

MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JIMBO LA LOMBARDIA

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 20, 2023. amefanya mazungumzo na Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana kwenye ofisi za jimbo hilo zilizopo Milan, Italia kuhusu masuala ya ushirikiano kati ya jimbo la Lombardia na Tanzania. Jimbo hilo ni maarufu kwa viwanda,

katika mazungumzo hayo Mheshimiwa Majaliwa aliambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Shamata Shaame Hamisi, Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Said Yakubu.

Back to top button