Habari Tofauti

PROF. OLE GABRIEL AWANOA WAKUU WA MIKOA

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania na Katibu Mkuu Mstaafu Prof. Elisante Ole Gabriel ametoa kwenye mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala yanayoendelea kwenye shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere iliyoko Kibaha mkoani Pwani.
Mada ya Prof. Gabriel inahusu Nafasi na Wajibu wa Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala Mkoa katika kusimamia Utoaji wa Haki.
Back to top button