Habari

Dk.Hussein Ali Mwinyi akutana na Ujumbe wa UNESCO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Ujumbe wa UNESCO kujadili maswala mbalimbali ya urithi wa Zanzibar ikiwemo utunzaji wa Mji Mkongwe.
Ujumbe huo uliambatana na Waziri wa Utalii na mambo ya kale Mhe Simai Mohammed Said pamoja na maafisa wa Wizara hiyo.
Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar leo tarehe 20 Julai,2023
Back to top button