Habari

Mheshimiwa Rais El-Sisi, afanye mkutano pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni inayomiliki ya EgyptAir

Bassant

Jumanne 18 Julai, Rais Abdel Fattah el-Sisi,alikutana na Mostafa Madbouly Waziri mkuu wa Misri,Luteni Jenerali Mohamed Abbas Helmy Waziri wa Usafiri wa Anga,na Yehia Zakaria Mwenyekiti wa Kampuni inayomiliki ya EgyptAir.

Mshauri Ahmed Fahmy, Msemaji Rasmi wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri, alisema kwamba mkutano huo ulijadiliwa ufuatiliaji wa mkakati wa siku zijazo kwa sekta ya usafiri wa Anga wa kiraia, ambapo malengo ya maendeleo ya sekta  hiyo katika kipindi kijacho yaliwasilishwa, na msimamo wa utendaji wa kazi inayoendelea katika suala hili, hasa inayohusika na kuboresha viwanja vya ndege na kuongeza uwezo wao, na upanuzi wa mtandao wa mashirika ya ndege na kuendeleza ndege ya EgyptAir, pamoja na kuendeleza mifumo wa urambazaji wa udhibiti wa hewa,Pamoja na vyombo na vifaa vya huduma vinavyohusiana na sekta hiyo.

Msemaji rasmi alieleza kwamba Mheshimiwa Rais alielekeza katika muktadha huu kuendelea na  juhudi kubwa ili kuboresha sekta ya usafiri wa Anga na nafasi yake ya ushindani kikanda na kimataifa kwa njia inayounganisha na mchakato kamili wa maendeleo nchini, hasa kwa kutegemea masomo ya mbinu za ulimwengu kwa maendeleo, kisasa, kuongeza ufanisi wa utendaji wa kazi, na kuongeza matumizi ya faida za upendeleo zinazotolewa na eneo la kijiografia la Misri, kwa njia ambayo huongeza ushi

Back to top button