
Jumamosi Julai 8 Abdel Fattah El-Sisi alipiga simu na Waziri Mkuu wa Ugiriki” Kyriakos Mitsotakis”.
Msemaji Rasmi wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri, mshauri Ahmed Fahmy, alisema kwamba Mheshimiwa Rais alimpokea Waziri Mkuu wa Ugiriki kwa ushindi mkubwa wa uchaguzi ambao ulifanyikwa na chama tawala katika uchaguzi wa Bunge ambapo ulitokea kupitia Juni iliyopita, na matokeo yake yalithipitisha imani ya mpiga wa kura wa Ugiriki na siasa za Waziri Mkuu.
Na pia Mheshimiwa Rais alionesha tathmini ya Misri kwa mahusiano yake makubwa ya ushirikiano na Ugiriki,akisisitiza uangalifu wa kuendelea shukrani zake katika viwango vyote ikiwa kuhusu kiwango cha pili au katika uwigo wa ushirkiano wa tatu na Cyprus.
Kwa upande wake Waziri Mkuu wa Ugiriki,alitoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais,akisisitiza kuwa nguvu na utofauti wa mahusiano kati ya Misri na Ugiriki,akisisitiza pia kwa uangalifu wa nchi yake kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika viwango mablimbali, licha ya kuendelea mashauriano kuhusu masuala ya maslahi ya pamoja, haswa inayohusika na maendeleo katika hali hiyo katika eneo la mashariki ya Kati, tena athari za mgogoro wa kisasa wa uchumi,chakula na nishati Duniani.










