Habari
MAKAMU DK.MWINYI AHUDHURIA VIKAO VYA KAMATI KUU NA NEC YA CCM TAIFA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo amehudhuria vikao vya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC vikao hivyo vimefanyika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu, Dodoma.











