Habari
RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAZIRI WA UHAMIAJI WA JIMBO LA THURINGIA UJERUMANI

0:00
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Waziri wa Uhamiaji , Sheria na Haki za Walaji Jimbo la Thuringia Ujerumani Mhe. Doreen Denstadt mwenye asili ya Kitanzania, katika mazungumzo yao wamegusia kuanzisha ushirikiano baina ya Jimbo la Thuringia na Tanzania pia baina ya Mji wa Weimer na Zanzibar.
