Habari

Mama Mariam Mwinyi akutana na Taasisi ya kiraia inayounganisha Jumuiya za Wanawake

0:00

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi leo amekutana na Taasisi ya kiraia inayounganisha Jumuiya za Wanawake kutoka vyama mbalimbali vya siasa vyenye usajili kamili nchini, Taasisi ya Sauti ya Wanawake wenye ulemavu (SWAUTA), Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG) na Umoja wa Wanawake wa Baraza la Wawakilishi(UWAWAZA) T-WCP-ULINGO ujumbe huo umeongozwa na , Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambae ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mgeni Hassan Waliofika Ikulu, Migombani.

Back to top button