Habari
Balozi wa Misri nchini Ethiopia akutana na mwakilishi wa ofisi ya UN Women katika Umoja wa Afrika
Mervet Sakr

Balozi Dkt. Mohamed Gad alimpokea Bi. Awa Ndiaye Seck, Mwakilishi wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Wanawake katika Umoja wa Afrika, na Bi.Mulunesh Tsegaye, Meneja wa Programu ya Mpango wa Uwezeshaji wa Wasichana wa Afrika kwa Uwekaji Dijiti(Digitization), ambapo mkutano huo ulishughulikia vipengele na malengo ya Mpango wa Uwezeshaji wa Wasichana wa Kiafrika katika uwanja wa uboreshaji wa digitali (digitalization), pamoja na kujadili njia za msaada wa Misri kwa mpango huo Barani.










